Swali: Ni ipi hukumu ya kujinasibisha na Da´wah Salafiyyah?
Jibu: Ni vuzuri. Unataka ajinasibishe na Da´wah za kizushi na madhehebu ya wapotevu? Ajinasibishe na Salafiyyah. Lakini iwe kihakika na isiwe kimadai tu. Lakini ni lazima ujue ni upi mfumo wa Salafiyyah ili uweze kushikamana nao. Sio uwe mwenye kudai Salafiyyah lakini hujui ni kitu gani. Kuna madhara mengi yamepatikana kwa kufanya hivi. Ni wangapi wamedai Salafiyyah ilihali hawajui ni kitu gani Salafiyyah na wameichafua Salafiyyah. Ni lazima usome mfumo wa Salafiyyah na uujue. Baada ya hapo ndio ushikamane nao. Hili ndio la wajibu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=SpmtxjFwY8s
- Imechapishwa: 06/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)