Swali: Mtu akiwa katika safari na akatoa Zakaat-ul-Fitwr yake ndani ya wakati wake katika nchi aliyoko kabla ya kufika nyumbani kwake. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Hapana vibaya kufanya hivo hata kama atakuwa mbali na watoto wake. Kwani Zakaat-ul-Fitwr inatolewa pale pahali ambapo imekuwajibikia ukiwa maeneo hapo ingawa ni mbali na mji wako.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/263)
- Imechapishwa: 26/04/2026
Swali: Mtu akiwa katika safari na akatoa Zakaat-ul-Fitwr yake ndani ya wakati wake katika nchi aliyoko kabla ya kufika nyumbani kwake. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Hapana vibaya kufanya hivo hata kama atakuwa mbali na watoto wake. Kwani Zakaat-ul-Fitwr inatolewa pale pahali ambapo imekuwajibikia ukiwa maeneo hapo ingawa ni mbali na mji wako.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/263)
Imechapishwa: 26/04/2026
https://firqatunnajia.com/hapo-ndipo-utapotoa-zakaat-ul-fitwr-yako/