Swali: Je, kipomoko ndani ya tumbo kinatolewa Zakaat-ul-Fitwr?
Jibu: Inapendeza kufanya hivo na sio lazima.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/263)
- Imechapishwa: 26/04/2026
Swali: Je, kipomoko ndani ya tumbo kinatolewa Zakaat-ul-Fitwr?
Jibu: Inapendeza kufanya hivo na sio lazima.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/263)
Imechapishwa: 26/04/2026
https://firqatunnajia.com/zakaat-ul-fitwr-kwa-kipomoko-tumboni/