Swali: Je, anapata dhambi anayenyoa au kuzichonga ndevu zake kwa sababu ya kujipamba?
Jibu: Ndio, anapata dhambi. Hapana shaka yoyote juu ya hilo. Hayo ni maasi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Punguzeni masharubu na refusheni ndevu. Jitofautisheni na washirikina.”
Ni maasi kwenda kinyume na maamrisho.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21949/حكم-كد-اللحية-للتجمل-وما-شابهه
- Imechapishwa: 14/01/2023