Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye analingania katika kuyakutanisha makundi na mapote mbalimbali na kuyavumilia makosa yao kwa hoja eti tukusanyike kwa ajili ya ulinganizi?

Jibu: Hili ni kosa muda wa kuwa sio Qur-aan na Sunnah ndio vyenye kuamu na hatuchelei kupotea dini na ´Aqiydah yetu. Kila mara watakuwa wanakuja na kututaka tuache baadhi ya Sunnah na mengineyo ambayo ni katika dini yetu. Ni jambo lisilokuwa la sawa isipokuwa pale tutapoiacha Qur-aan na Sunnah ndio vihukumu.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 404
  • Imechapishwa: 24/06/2025