Swali: Je, kutahadharisha mapote ya ki-Hizbiyyah ni kusenganya?
Jibu: Maadamu hukumlenga yeyote, hii ni katika nasaha. Ama ukimlenga mtu maalum, hii itahesabika kuwa ni usengenyaji. Kuhusiana na kumsengenya mtu maalum, ikiwa katika kufanya hivyo kuna maslahi makubwa ni jambo la sawa. Ama ikiwa katika kufanya hivyo kunapatikana madhara makubwa, haijuzu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Je, kutahadharisha mapote ya ki-Hizbiyyah ni kusenganya?
Jibu: Maadamu hukumlenga yeyote, hii ni katika nasaha. Ama ukimlenga mtu maalum, hii itahesabika kuwa ni usengenyaji. Kuhusiana na kumsengenya mtu maalum, ikiwa katika kufanya hivyo kuna maslahi makubwa ni jambo la sawa. Ama ikiwa katika kufanya hivyo kunapatikana madhara makubwa, haijuzu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (45) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-4-20.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/hapa-ndipo-kusengenya-itakuwa-inajuzu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)