Hapa ndipo itakuwa ni wajibu kwa mwanafunzi kuoa

Swali: Mimi ni mwanafunzi mwenye umri wa miaka kumi na tisa na nina uwezo wa kuoa. Je, unanipendekeza kuoa kwa miaka hii?

Jibu: Hili ni jambo zuri. Maadamu una uwezo na umejipanga jinsi ya kumwangalia mwanamke, kumhudumia na ukawa unakhofia juu ya nafsi yako fitina, katika hali hii ni wajibu kwako kuoa kwa njia ya uwajibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (77) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-19.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020