Uhalali wa vichinjwa kwenye masomo ya waislamu

Swali: Baadhi ya wachinjaji wakati wanapochinja hawamtaji Allaah. Je, inajuzu kwangu kula kwenye kichinjwa hivi?

Jibu: Vinavyochinjwa kwenye masoko ya Waislamu na kwenye miji ya waislamu, kula na usiulize. Allaah hajakukalifisha kwa hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (77) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-19.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020