712- Nilimuuliza: “Mwanamke tajiri hana Mahram wa kuhiji naye. Je, bado hajj inamuwajibikia?” Akajibu: “Hapana.” Nikasema kumwambia Ahmad: “Kama yuko na Mahram ambaye anachelea kutenda naye dhambi, bi maana endapo atasafiri naye?” Akajibu: “Ima ni mnyonge au ameshughulishwa.” Ni kana kwamba anaonelea kuwa hakuna neno asipohiji naye.

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 150
  • Imechapishwa: 26/03/2021