Swali: Je, mtu yeyote anaweza kumsomea mwingine Ruqyah au hili ni jambo kwa watu maalum tu?
Jibu: Anatakiwa ajue hukumu za Ruqyhah. Ni lazima awe anajua hukumu za Ruqyah na yenye kujuzu na yasiyojuzu. Baadhi yao wanasoma kwenye vitabu vya makhurafi na wanakuja na kuwasomea navyo watu ili waweze kupata pesa. Wanafanya hii ndio kazi yao. Kwa ajili hii ndio maana wasomaji Ruqyah wengi wana vitabu vya kikhurafi wanavyotumia. Kimechowafanya kufanya hivi ni kutaka kuwavuta watu na kuchukua pesa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (38) http://alfawzan.af.org.sa/node/2146
- Imechapishwa: 13/07/2020
Swali: Je, mtu yeyote anaweza kumsomea mwingine Ruqyah au hili ni jambo kwa watu maalum tu?
Jibu: Anatakiwa ajue hukumu za Ruqyhah. Ni lazima awe anajua hukumu za Ruqyah na yenye kujuzu na yasiyojuzu. Baadhi yao wanasoma kwenye vitabu vya makhurafi na wanakuja na kuwasomea navyo watu ili waweze kupata pesa. Wanafanya hii ndio kazi yao. Kwa ajili hii ndio maana wasomaji Ruqyah wengi wana vitabu vya kikhurafi wanavyotumia. Kimechowafanya kufanya hivi ni kutaka kuwavuta watu na kuchukua pesa.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (38) http://alfawzan.af.org.sa/node/2146
Imechapishwa: 13/07/2020
https://firqatunnajia.com/hali-za-wengi-wenye-kujishughulisha-na-ruqyah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)