Miongoni mwa [maovu yanayotokea katika Maulidi] ni wanaume na wanawake kuchanganyika.
Isitoshe wengi wanaohudhuria katika maulidi hali zao zinakuwa mbaya. Wengi wao hawaswali. Hawahifadhi swalah. Wanafanya mambo ya maovu. Wanapupia Bid´ah na wanaacha mambo ya wajibu. Lililo la wajibu kwa muislamu ni kufuata na aache kuzusha. Lau ingelikuwa ni kheri wangelitutangulia nalo Maswahabah na Taabi´uun. Vilevile lau yangelikuwa ni kheri basi Allaah Angelituwekea nayo [katika Shari´ah]. Kwa haya tunapata kubainikiwa kuwa Maulidi ni katika Bid´ah.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4738
- Imechapishwa: 01/05/2015
Miongoni mwa [maovu yanayotokea katika Maulidi] ni wanaume na wanawake kuchanganyika.
Isitoshe wengi wanaohudhuria katika maulidi hali zao zinakuwa mbaya. Wengi wao hawaswali. Hawahifadhi swalah. Wanafanya mambo ya maovu. Wanapupia Bid´ah na wanaacha mambo ya wajibu. Lililo la wajibu kwa muislamu ni kufuata na aache kuzusha. Lau ingelikuwa ni kheri wangelitutangulia nalo Maswahabah na Taabi´uun. Vilevile lau yangelikuwa ni kheri basi Allaah Angelituwekea nayo [katika Shari´ah]. Kwa haya tunapata kubainikiwa kuwa Maulidi ni katika Bid´ah.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4738
Imechapishwa: 01/05/2015
https://firqatunnajia.com/hali-za-watu-wengi-wa-maulidi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket