337 – Aliulizwa Shaykh wetu kuhusu wale wanaotumia njia ya kuwasiliana kama wanapewa zakaah?

Jibu: Mwombaji ana hali tatu:

1 – Aliyejulikana kuwa ni tajiri. Huyu anaonywa na kukemewa.

2 – Fakiri. Huyu anapewa.

3 – Asiyejulikana hali yake. Huyu anapewa kwa mujibu wa kuenea kwa Aayah na Hadiyth.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 118
  • Imechapishwa: 31/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´