Halaka zinazoitwa majina ya Maswahabah na wanachuoni

Swali: Kuna duara ya kuhifadhi Qur-aan inayoitwa kwa majina ya Maswahabah na wanachuoni. Kuna kosa kufanya hivo?

Jibu: Hakuna neno kwa hilo. Ni kwa ajili iweze kupambanuka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/02011436.mp3
  • Imechapishwa: 27/08/2020