Swali: Kuna mtu alijiunga na imamu katika Rak´ah ya kwanza. Wakati imamu alipokaa katika Tashahhud ya kwanza akakaa naye. Pindi imamu aliposimama katika Rak´ah ya tatu maamuma huyu hakumsikia isipokuwa mpaka baada alipokuwa amefika katika Rukuu´. Hivyo akawa amesimama moja kwa moja na akaenda naye katika Rukuu´. Ni ipi hukumu ya swalah yake?
Jibu: Swalah yake ni sahihi. Kuchelewa kwake ni kwa sababu ya udhuru; hakumsikia imamu. Maadamu amewahi Rukuu´ hahitajii kusimama na kusoma kwa sababu ni mwenye kupewa udhuru.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
- Imechapishwa: 07/06/2020
Swali: Kuna mtu alijiunga na imamu katika Rak´ah ya kwanza. Wakati imamu alipokaa katika Tashahhud ya kwanza akakaa naye. Pindi imamu aliposimama katika Rak´ah ya tatu maamuma huyu hakumsikia isipokuwa mpaka baada alipokuwa amefika katika Rukuu´. Hivyo akawa amesimama moja kwa moja na akaenda naye katika Rukuu´. Ni ipi hukumu ya swalah yake?
Jibu: Swalah yake ni sahihi. Kuchelewa kwake ni kwa sababu ya udhuru; hakumsikia imamu. Maadamu amewahi Rukuu´ hahitajii kusimama na kusoma kwa sababu ni mwenye kupewa udhuru.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
Imechapishwa: 07/06/2020
https://firqatunnajia.com/hakuwahi-kusoma-katika-swalah-kwa-sababu-hakumsikia-imamu-2/