Swali: Kuna mtu ana haja kubwa ya gari. Hakuna njia nyingine ya kuipata isipokuwa kupitia leasing. Je, inafaa kwake?
Jibu: Hapana. Haijuzu. Asubiri mpaka pale ambapo Allaah atamsahilishia kununua gari. Vinginevyo achukue teksi. Wakati Allaah atamsahilishia kununua gari atanunua.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
- Imechapishwa: 08/09/2023