Swali: Ni lazima matabano yafanyike kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah au ni kama dawa nyenginezo na imejengeka juu ya kujitahidi?
Jibu: Matabano yamejengeka juu ya Qur-aan na du´aa zilizowekwa katika Shari´ah. Haya ndio matabano; du´aa zilizowekwa katika Shari´ah na Qur-aan. Hakuna matabano yasiyokuwa haya.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
- Imechapishwa: 05/03/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket