Swali: Ni sahihi ya kwamba hakuna kukatazana katika mambo yalio na tofauti?
Jibu: Kwanza ikiwa ni katika ´Aqiydah itambulike kuwa hakuna tofauti katika ´Aqiydah. Lililo la wajibu kwetu ni kufuata mdhehebu ya Salaf na tusiwe na tofauti. Mambo ya tofauti ikiwa yanahusiana na mambo ya Fiqh, yamegawanyika sehemu mbili:
1 – Mambo ambayo dalili zimedhihirika katika moja ya kauli mbili. Ni wajibu kumzindua mwenye kwenda kinyume kwa kuwa dalili iko na yule mwingine. Inatakiwa kumuwekea wazi hili.
2 – Ikiwa dalili haikudhihirika na kauli zote mbili zina nguvu, kuna uwezekano ikawa hivi na kuna uwezekano ikawa vile, wote wawili wawili hawakudhihirikiwa na dalili, hakuna kukemeana katika mambo ya Ijtihaad.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
- Imechapishwa: 01/06/2015
Swali: Ni sahihi ya kwamba hakuna kukatazana katika mambo yalio na tofauti?
Jibu: Kwanza ikiwa ni katika ´Aqiydah itambulike kuwa hakuna tofauti katika ´Aqiydah. Lililo la wajibu kwetu ni kufuata mdhehebu ya Salaf na tusiwe na tofauti. Mambo ya tofauti ikiwa yanahusiana na mambo ya Fiqh, yamegawanyika sehemu mbili:
1 – Mambo ambayo dalili zimedhihirika katika moja ya kauli mbili. Ni wajibu kumzindua mwenye kwenda kinyume kwa kuwa dalili iko na yule mwingine. Inatakiwa kumuwekea wazi hili.
2 – Ikiwa dalili haikudhihirika na kauli zote mbili zina nguvu, kuna uwezekano ikawa hivi na kuna uwezekano ikawa vile, wote wawili wawili hawakudhihirikiwa na dalili, hakuna kukemeana katika mambo ya Ijtihaad.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
Imechapishwa: 01/06/2015
https://firqatunnajia.com/hakuna-kukatazana-katika-mambo-ya-tofauti/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)