Swali: Mtu akihisi kiu sana kiasi cha kwamba anataka kufa na akakosa kinywaji zaidi ya pombe. Je, inafaa akanywa?
Jibu: Pombe itamzidishia kiu na haiondoshi kiu. Bali inamzidishia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 15/12/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)