339 – Hudhayfah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

من تَفَلَ تُجاه القِبلة؛ جاء يومَ القيامةِ وتَفْلُه بين عَينَيهِ، ومن أكل من هذه البقلةِ الخبيثة؛ فلا يقربَنَّ مسجدنا، (ثلاثاً)

“Mwenye kutema mate upande wa Qiblah atakuja siku ya Qiyaamah na mate yake mbele ya macho yake, na anayekula kutoka kwenye mboga hii mbaya basi asiukaribie msikiti wetu.” Alisema hivo mara tatu.”[1]

Ameipokea Ibn Khuzaymah.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/257)
  • Imechapishwa: 15/12/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy