Swali: Kuko ambao wanasema kwamba mapinduzi ni ukombozi kwa utumwa wa madikteta. Vipi tutawaradi?
Jibu: Mapinduzi hakuna kheri yoyote ndani yake, hata kama mtawala atakuwa ni dikteta. Hakuna kheri ndani yake. Kwa kuwa yanasababisha madhara zaidi. Watu wanauawa. Machafuko. Kukosekana kwa amani. Hakuna kheri yoyote ndani ya mapinduzi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14252
- Imechapishwa: 05/09/2020
Swali: Kuko ambao wanasema kwamba mapinduzi ni ukombozi kwa utumwa wa madikteta. Vipi tutawaradi?
Jibu: Mapinduzi hakuna kheri yoyote ndani yake, hata kama mtawala atakuwa ni dikteta. Hakuna kheri ndani yake. Kwa kuwa yanasababisha madhara zaidi. Watu wanauawa. Machafuko. Kukosekana kwa amani. Hakuna kheri yoyote ndani ya mapinduzi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14252
Imechapishwa: 05/09/2020
https://firqatunnajia.com/hakuna-kheri-yoyote-katika-mapinduzi-dhidi-ya-udikteta/