Swali: Sisi ni wanafunzi tunaenda misikitini na tunatoa mawaidha kuhusu mauti na mambo mengine. Wanafunzi wengine wanatukemea na kutwambia kuwa ni Bid´ah na ni katika mambo ya visa. Ni kipi kigezo juu ya hilo?
Jibu: Tuna wizara kamilifu juu ya Da´wah na maelekezo. Ni lazima uende kuchukua rukhusa ya kutoa mawaidha na makumbusho. Ni lazima upate idhini kutoka katika wizara. Hawampi isipokuwa wale wenye kustahiki tu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)