Hakuna Da´wah pasina idhini kutoka katika wizara

Swali: Sisi ni wanafunzi tunaenda misikitini na tunatoa mawaidha kuhusu mauti na mambo mengine. Wanafunzi wengine wanatukemea na kutwambia kuwa ni Bid´ah na ni katika mambo ya visa. Ni kipi kigezo juu ya hilo?

Jibu: Tuna wizara kamilifu juu ya Da´wah na maelekezo. Ni lazima uende kuchukua rukhusa ya kutoa mawaidha na makumbusho. Ni lazima upate idhini kutoka katika wizara. Hawampi isipokuwa wale wenye kustahiki tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020