Swali: Baadhi ya watu wanasema kuwa kuna watu waliokuwa bora kuliko baadhi ya Maswahabah ambao hawakuwa pamoja na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Je, ni sahihi?
Jibu: Haya ni maneno batili. Hakuna aliye sawa na Maswahabah. Wana sifa ambayo wengine hawana; kusuhubiana na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hakuna yeyote baada yao anaweza kuwa bora kuliko wao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Baadhi ya watu wanasema kuwa kuna watu waliokuwa bora kuliko baadhi ya Maswahabah ambao hawakuwa pamoja na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Je, ni sahihi?
Jibu: Haya ni maneno batili. Hakuna aliye sawa na Maswahabah. Wana sifa ambayo wengine hawana; kusuhubiana na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hakuna yeyote baada yao anaweza kuwa bora kuliko wao.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/hakuna-awezae-kuwa-sawa-na-maswahabah/