Hakuna awezae kuwa sawa na Maswahabah

Swali: Baadhi ya watu wanasema kuwa kuna watu waliokuwa bora kuliko baadhi ya Maswahabah ambao hawakuwa pamoja na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Je, ni sahihi?

Jibu: Haya ni maneno batili. Hakuna aliye sawa na Maswahabah. Wana sifa ambayo wengine hawana; kusuhubiana na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hakuna yeyote baada yao anaweza kuwa bora kuliko wao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020