Himdi zote ni Zake Allaah kuona Sunnah inaenea. Usibabaike kuona kuwa kuna mtu anayechezesha kaseti dhidi yetu. Waache wachezeshe kanda mia dhidi yetu.
Na ikiwa watasema kuwa sisi ni vibara, basi tunasema kuwa nchi hazitutaki kama vibaraka. Kwa sababu tunampa kila mmoja kile anachostahiki. Kibaraka ni lazima awe kama paka anayepenyeza huku na kule. Hawataki kuwa na vibaraka wanaozungumza haki. Hatujali wanachosema. Waache waseme wanalolitaka. Sisi tunasema:
مُوتُوا بِغَيْظِكُمْ
“Kufeni kwa chuki zenu!” (03:119)
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 167
- Imechapishwa: 26/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)