Haikuthibiti Salaf kuwasomea Qur-aan wafu

Swali: Je, haikuthibiti kuwa wanafunzi wa Maswahabah waliwasomea Qur-aan wafu wao?

Jibu: Kuwasoma Qur-aan wafu ni jambo halina msingi wa wa kutegemea. Hivyo haipaswi kulitegemea hilo. ´Ibaadah ni kwa mujibu wa dalili ya Qur-aan na Sunnah. Huu ndio msingi. ´Ibaadah haziwi kwa maono na kuonelea vizuri. Maono na kuonelea mambo mazuri kunapelekea katika shari kubwa sana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25108/هل-ثبت-عن-السلف-انهم-قراوا-القران-على-امواتهم
  • Imechapishwa: 03/02/2025