Swali: Je, kuna tofauti kutawassul kwa dhati ya mtu na kutawassul kwa jaha yake?

Jibu: Hakuna tofauti kati yake. Yote mawili yamekatazwa. Haifai kutawassul kwa mtu, kwa dhati yake wala jaha yake.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 78
  • Imechapishwa: 30/08/2018