Swali: Wako wanaosema kuwa inafaa kutaka msaada kutoka kwa majini katika yale mambo ambayo wanayaweza?

Jibu: Hapana, haifai upotoshaji huu. Huku ni kufungua mlango wa shari. Majini – kama watakuzungumzisha – katika wale ambao wanapiga kelele, unapaswa kuwaambia kuwa haifai, kwamba ni haramu wanachokifanya, kwamba watoke kwake [mgonjwa] na kwamba haifai kitendo wanachokifanya.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24547/حكم-الاستعانة-بالجن-فيما-يقدر-عليه-الجن
  • Imechapishwa: 26/10/2024