Swali: Maneno kunakusanywa maneno[1] ya kilimwengu na pia Aayah zilizoenea?
Jibu: Maneno ya Kishari´ah, ambayo ni Qur-aan, na maneno ya kilimwengu ambayo Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) anaamrisha kwayo katika kuwaendesha waja Wake (Jalla wa ´Alaa).
Swali: Ajilinde kwa maneno yote mawili?
Jibu: Ajilinde kwa yote mawili.
[1] أَعُوْذُ بِكَلِماتِ اللَّهِ التَّامَّتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ
”Najilinda kwa maneno ya Allaah yaliyotimia kutokamana na shari Alivyoviumba.”
(Atakayeyasema mara tatu jioni, basi hatodhuriwa na mdudu wa sumu usiku huo.” Ahmad (02/290), an-Nasaa´iy katika “‘Amal-ul-Yawm wal-Laylah” (590) na Ibn-us-Sunniy (68). Tazama “Swahiyh-ut-Tirmidhiy (03/187), “Swahiyh Ibn Maajah” (92/266), “Tuhfat-ul-Akhyaar”, uk. 45. )
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24544/معنى-التعوذ-بكلمات-الله-التامات-من-شر-ما-خلق
- Imechapishwa: 26/10/2024
Swali: Maneno kunakusanywa maneno[1] ya kilimwengu na pia Aayah zilizoenea?
Jibu: Maneno ya Kishari´ah, ambayo ni Qur-aan, na maneno ya kilimwengu ambayo Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) anaamrisha kwayo katika kuwaendesha waja Wake (Jalla wa ´Alaa).
Swali: Ajilinde kwa maneno yote mawili?
Jibu: Ajilinde kwa yote mawili.
[1] أَعُوْذُ بِكَلِماتِ اللَّهِ التَّامَّتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ
”Najilinda kwa maneno ya Allaah yaliyotimia kutokamana na shari Alivyoviumba.”
(Atakayeyasema mara tatu jioni, basi hatodhuriwa na mdudu wa sumu usiku huo.” Ahmad (02/290), an-Nasaa´iy katika “‘Amal-ul-Yawm wal-Laylah” (590) na Ibn-us-Sunniy (68). Tazama “Swahiyh-ut-Tirmidhiy (03/187), “Swahiyh Ibn Maajah” (92/266), “Tuhfat-ul-Akhyaar”, uk. 45. )
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24544/معنى-التعوذ-بكلمات-الله-التامات-من-شر-ما-خلق
Imechapishwa: 26/10/2024
https://firqatunnajia.com/kilichokusudiwa-kujilinda-kwa-maneno-ya-allaah/