Swali: Katika nchi yetu, wadudu wa kuruka huonekana baada ya mvua. Wanakuwa wakubwa kuliko chungu na wadogo kuliko panzi. Tunawapika na kuwala wadudu hao. Je, wanafaa?

Jibu: Haifai kula wadudu, kwa sababu ni wenye kuchukiza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 10/11/2023