Swali: Tumesikia jinsi baadhi wanasema kuwa Hadiyth ya kwamba Ummah utagawanyika, mayahudi na manaswara ni dhaifu. Je, ni sahihi?
Jibu: Hapana, si sahihi. Vyanzo vya Hadiyth na daraja yake imebainishwa na kuwekwa wazi. Mapokezi yake yamewekwa wazi. Sio dhaifu. Ikiwa ni dhaifu kupitia isnadi moja, ni Swahiyh kwa njia ingine au kwa isnadi zote.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mqirwani–14340317.mp3
- Imechapishwa: 18/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)