Hadiyth wanawake ndio wakazi wengi wa Motoni ni yenye kuenea

Swali: Maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Nimekuoneni wanawake ndio wakazi wengi wa Motoni.”

Je, hili ni baada ya wale wapwekeshaji kutoka Motoni?

Jibu: Ni yenye kuenea (عام). Udhahiri wa Hadiyth ni yenye kuenea.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23536/معنى-حديث-رايتكن-اكثر-اهل-النار
  • Imechapishwa: 08/02/2024