Swali: Tunakusanyaje kati ya Hadiyth inayosema kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alieleza uwa hakuna kinachokata swalah isipokuwa mwanamke, mbwa mweusi na punda, na Hadiyth inayosema kwamba ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) alikuwa analala mbele ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati anaswali mpaka wakati mwingine alipokuwa anataka kuswali Witr alikuwa akimgusa naye akasimama?
Jibu: Hakuna kupingana kati ya Hadiyth hizi mbili, kwa sababu kuwepo kwake mbele yake akiwa amelala kitandani hakuhesabiwi kuwa ni kupita mbele yake. Vivyo hivyo kutoka kwake polepole kutoka kitandani hakuhesabiwi kuwa ni kupita mbele yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/332)
- Imechapishwa: 13/03/2026
Swali: Tunakusanyaje kati ya Hadiyth inayosema kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alieleza uwa hakuna kinachokata swalah isipokuwa mwanamke, mbwa mweusi na punda, na Hadiyth inayosema kwamba ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) alikuwa analala mbele ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati anaswali mpaka wakati mwingine alipokuwa anataka kuswali Witr alikuwa akimgusa naye akasimama?
Jibu: Hakuna kupingana kati ya Hadiyth hizi mbili, kwa sababu kuwepo kwake mbele yake akiwa amelala kitandani hakuhesabiwi kuwa ni kupita mbele yake. Vivyo hivyo kutoka kwake polepole kutoka kitandani hakuhesabiwi kuwa ni kupita mbele yake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/332)
Imechapishwa: 13/03/2026
https://firqatunnajia.com/hadiyth-inayokataza-kupita-mbele-ya-mswaliji-na-aaishah-akilala-mbele-ya-mtume/