Swali: Makusudio ya ghadhabu hapa ni katika mambo ya kilimwengu?

Jibu: Kwa maana ya kwamba katika yale yanayotokea kati ya watu. Kughadhibika kwa ajili ya Allaah kunasifiwa. Kughadhibika kwa ajili ya Allaah katika kukemea maovu na katika mawaidha na kukumbusha sio yaliyokusudiwa hapa. Huko ni kuwa na wivu kwa ajili ya Allaah. Hiyo ni ghadhabu yenye kutakikana.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24174/ما-الفرق-بين-الغضب-لله-والغضب-المذموم
  • Imechapishwa: 13/09/2024