Swali: Atangaze kiokotwa mwaka?
Jibu: Katika mikusanyiko ya watu; ni nani kapoteza kondoo, mbuzi au mwanakondoo kwa kadri ya hali.
Swali: Nje ya misikiti?
Jibu: Nje ya misikiti.
Swali: Hili linakusanya Makkah na Madiynah?
Jibu: Kila mahali. Lakini Makkah na Madiynah asikimiliki, akitangaze daima au akipeleke kwa wahusika. Asikimiliki. Lakini kusikokuwa Makkah na Madiynah anakimiliki baada ya mwaka.
Swali: Je, inafaa kwake kukitangaza karibu na milango ya misikiti?
Jibu: Karibu na milango ya misikit na kwenye mikusanyiko ya watu.
Swali: Vipi akitoa swadaqah thamani yake?
Jibu: Hapana, asitoe swadaqah thamani yake isipokuwa baada ya kukitangaza. Ni lazima akitangaze Mwakkah mzima. Hapana vibaya akikitangaza mwaka mzima kisha baada ya hapo akakitoa swadaqah. Akija mwenye nayo baada ya hapo atamlipa nacho.
Swali: Vipi ikiwa ni kitu kidogo?
Jibu: Kitu kidogo kinasamehewa.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24171/ما-مدة-تعريف-اللقطة-واماكنها
- Imechapishwa: 13/09/2024
Swali: Atangaze kiokotwa mwaka?
Jibu: Katika mikusanyiko ya watu; ni nani kapoteza kondoo, mbuzi au mwanakondoo kwa kadri ya hali.
Swali: Nje ya misikiti?
Jibu: Nje ya misikiti.
Swali: Hili linakusanya Makkah na Madiynah?
Jibu: Kila mahali. Lakini Makkah na Madiynah asikimiliki, akitangaze daima au akipeleke kwa wahusika. Asikimiliki. Lakini kusikokuwa Makkah na Madiynah anakimiliki baada ya mwaka.
Swali: Je, inafaa kwake kukitangaza karibu na milango ya misikiti?
Jibu: Karibu na milango ya misikit na kwenye mikusanyiko ya watu.
Swali: Vipi akitoa swadaqah thamani yake?
Jibu: Hapana, asitoe swadaqah thamani yake isipokuwa baada ya kukitangaza. Ni lazima akitangaze Mwakkah mzima. Hapana vibaya akikitangaza mwaka mzima kisha baada ya hapo akakitoa swadaqah. Akija mwenye nayo baada ya hapo atamlipa nacho.
Swali: Vipi ikiwa ni kitu kidogo?
Jibu: Kitu kidogo kinasamehewa.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24171/ما-مدة-تعريف-اللقطة-واماكنها
Imechapishwa: 13/09/2024
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-kiokotwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)