Swali: Kuna mtu amemchumbia msichana na amemuona kwa mujibu wa Shari´ah na kukubali kukatimia. Je, anaweza kuomba kumuona kwa mara nyingine kwa kuwa amesahau sura yake na anataka kuhakikisha kukubali kwake?
Jibu: Hakuna. Afunge naye ndoa, amwingilie na ahakikishe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14301
- Imechapishwa: 17/11/2014
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket