Anataka kumrejea mkewe baada ya miezi sita

Swali: Nimemtaliki mke wangu tokea miezi sita. Je, naweza kumrejea?

Jibu: Ikiwa ni Talaka rejea na bado yuko ndani ya eda, hakuna neno. Ama ikiwa eda imekwisha au ni Talaka ambayo sio rejea, huna haki ya hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14301
  • Imechapishwa: 17/11/2014