Swali: Je, fisi si mmoja wa wanyama wenye meno ya kuchanja?

Jibu: Lakini fisi ameelezwa kuwa amebaguliwa. Inasemekana kwamba meno yake si ya kuchanja kama ya wanyama wengine wakali. Badala yake ana jino kubwa lililo duara, ambalo hutumika kusaga chakula.

Swali: Kwa hivyo inafaa kumuua fisi?

Jibu: Ndio, fisi ni mnyama halali kuwinda.

Swali: Fisi ana meno makali ya kuchanja?

Jibu: Nimeelezwa kwamba fisi hana meno makali ya kuchanja, badala yake ana jino kubwa lililo duara linalotumika kusaga chakula.

Swali: Je, fisi hula wanyama wakali wanaokula nyama.

Jibu: Fisi amebaguliwa kwa mujibu wa dalili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24970/حكم-قتل-واكل-الضبع
  • Imechapishwa: 16/01/2025