Swali: Je, ni sahihi kwamba haifai kupeana zawadi wala kuiuza?
Jibu: Akishapokea zawadi, basi anakuwa ni mmiliki wayo. Akishaimiliki basi inafaa kwake kuitumia kama anavyotumia mali yake nyingine; anaweza kuiuza, kuipeana, kuitumia na kadhalika.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 18/05/2023