Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma na kubobea katika elimu ya falsafa?
Jibu: Haijuzu kusomesha falfasa wala kuiweka kwenye silebasi za watoto wa waislamu. Haijuzu kufanya hivo. Kwa sababu falsafa ni batili na hivyo haijuzu kuiweka katika silebasi za watoto wa waislamu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
- Imechapishwa: 13/12/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma na kubobea katika elimu ya falsafa?
Jibu: Haijuzu kusomesha falfasa wala kuiweka kwenye silebasi za watoto wa waislamu. Haijuzu kufanya hivo. Kwa sababu falsafa ni batili na hivyo haijuzu kuiweka katika silebasi za watoto wa waislamu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
Imechapishwa: 13/12/2020
https://firqatunnajia.com/falsafa-na-waislamu/