Swali: Kuna mwanamke ambaye ni mgonjwa lakini ni fakiri na kamuamrisha daktari kula. Je, alishe kwa kila siku moja fakiri katika chakula ambacho anala hata kama itakuwa chakula hichi ni kidogo?
Jibu: Hakuna neno, utalisha katika chakula ambacho unakula – utamlisha fakiri au mwanamke fakiri ambaye atakula na wewe.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Kuna mwanamke ambaye ni mgonjwa lakini ni fakiri na kamuamrisha daktari kula. Je, alishe kwa kila siku moja fakiri katika chakula ambacho anala hata kama itakuwa chakula hichi ni kidogo?
Jibu: Hakuna neno, utalisha katika chakula ambacho unakula – utamlisha fakiri au mwanamke fakiri ambaye atakula na wewe.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/fakiri-asiyeweza-kutoa-kafara/