Swali: Kuna mwanamke dhaifu alikula katika Ramadhaan siku saba, na kwa sasa hawezi kuzilipa. Je, atafunga kabla ya Ramadhaan inayokuja au wakati wowote autakao?
Jibu: Ukiweza kufunga kabla ya Ramadhaan fanya hivyo, isipokuwa ikiwa atakuwa ni mwenye udhuru atafunga baada ya Ramadhaan. Lakini ikiwa ni baada ya Ramadhaan atafunga na kulipa kafara kwa kila siku moja kumlisha masikini. Ikiwa alikuwa hana udhuru wa kuchelewesha. Kama alikuwa na udhuru kwa kuchelewesha atalipa tu.
- Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Kuna mwanamke dhaifu alikula katika Ramadhaan siku saba, na kwa sasa hawezi kuzilipa. Je, atafunga kabla ya Ramadhaan inayokuja au wakati wowote autakao?
Jibu: Ukiweza kufunga kabla ya Ramadhaan fanya hivyo, isipokuwa ikiwa atakuwa ni mwenye udhuru atafunga baada ya Ramadhaan. Lakini ikiwa ni baada ya Ramadhaan atafunga na kulipa kafara kwa kila siku moja kumlisha masikini. Ikiwa alikuwa hana udhuru wa kuchelewesha. Kama alikuwa na udhuru kwa kuchelewesha atalipa tu.
Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/je-atafunga-kabla-ya-ramadhaan-inayokuja/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)