122 – al-Hasan bin Ahmad ametukhabarisha: Abur-Rabiy´ ametuhadithia: Hammaad ametuhadithia: Ayyuub ametuhadithia, kutoka kwa ´Ikrimah, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye ameeleza:
”Wakati Aayah isemayo:
وَالَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَأْتُوا بِأَرْبَعَةِ شُهَدَاءَ
“Wale wanaowasingizia [machafu] wanawake watwaharifu kisha hawaleti mashahidi wane… “[1]
Ilipoteremshwa, Sa’d bin ´Ubaadah alisema: “Ee Mtume wa Allaah! Nikimuona mwanamume amelala katikati ya mapaja ya mwanamke aliyekaripiwa, sitoleta watu wanne isipokuwa huyo mwingine atatimiza hitajio lake.” Ndipo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akasema: “Sikilizeni yale anayosema bwana wenu.”
[1] 24:4
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 89
- Imechapishwa: 14/09/2026
122 – al-Hasan bin Ahmad ametukhabarisha: Abur-Rabiy´ ametuhadithia: Hammaad ametuhadithia: Ayyuub ametuhadithia, kutoka kwa ´Ikrimah, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye ameeleza:
”Wakati Aayah isemayo:
وَالَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ ثُمَّ لَمْ يَأْتُوا بِأَرْبَعَةِ شُهَدَاءَ
“Wale wanaowasingizia [machafu] wanawake watwaharifu kisha hawaleti mashahidi wane… “[1]
Ilipoteremshwa, Sa’d bin ´Ubaadah alisema: “Ee Mtume wa Allaah! Nikimuona mwanamume amelala katikati ya mapaja ya mwanamke aliyekaripiwa, sitoleta watu wanne isipokuwa huyo mwingine atatimiza hitajio lake.” Ndipo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akasema: “Sikilizeni yale anayosema bwana wenu.”
[1] 24:4
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 89
Imechapishwa: 14/09/2026
https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-sad-bin-ubaadah/