174 – Bishr bin Khaalid ametukhabarisha: Ghundar ametukhabarisha, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa Sulaymaan: Nimemsikia Abu Waa-il, kutoka kwa Masruuq, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
“Jitahidini kuisoma Qur-aan kwa watu wanne: ´Abdullaah bin Mas´uud, Saalim, mtumwa wa Abu Hudhayfah, Mu´aadh bin Jabal na Ubayy bin Ka’b.”[1]
175 – Abu Swaalih al-Makkiy ametukhabarisha: Fudhwayl, yaani Ibn ´Iyaadhw, ametukhabarisha, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Khaythamah, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, ambaye amesema:
“Sijaacha kumpenda Ibn Mas´uud tangu nilipomsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akisema: “Jifunzeni Qur-aan kwa watu wanne: Ibn Umm ´Abd, Ubayy bin Ka´b, Mu´aadh bin Jabal na Saalim, mtumwa Abu Hudhayfah.”
[1] al-Bukhaariy (3758) na Muslim (2464).
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 117
- Imechapishwa: 20/09/2026
174 – Bishr bin Khaalid ametukhabarisha: Ghundar ametukhabarisha, kutoka kwa Shu´bah, kutoka kwa Sulaymaan: Nimemsikia Abu Waa-il, kutoka kwa Masruuq, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambaye amesema:
“Jitahidini kuisoma Qur-aan kwa watu wanne: ´Abdullaah bin Mas´uud, Saalim, mtumwa wa Abu Hudhayfah, Mu´aadh bin Jabal na Ubayy bin Ka’b.”[1]
175 – Abu Swaalih al-Makkiy ametukhabarisha: Fudhwayl, yaani Ibn ´Iyaadhw, ametukhabarisha, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Khaythamah, kutoka kwa ´Abdullaah bin ´Amr, ambaye amesema:
“Sijaacha kumpenda Ibn Mas´uud tangu nilipomsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akisema: “Jifunzeni Qur-aan kwa watu wanne: Ibn Umm ´Abd, Ubayy bin Ka´b, Mu´aadh bin Jabal na Saalim, mtumwa Abu Hudhayfah.”
[1] al-Bukhaariy (3758) na Muslim (2464).
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 117
Imechapishwa: 20/09/2026
https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-saalim-mtumwa-wa-abu-hudhayfah/