144 – Sulaymaan bin Silm ametukhabarisha: an-Nadhwr ametukhabarisha: Hammaad ametukhabarisha: Abuz-Zubayr ametukhabarisha, kutoka kwa Jaabir, ambaye amesema:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) aliniombea msamaha siku ya Ngamia mara ishirini na tano.”[1]
[1] at-Tirmidhiy (3852), ambaye amesema Hadiyth ni nzuri, Swahiyh na ngeni, al-Haakim (3/565), aliyesahihisha cheni ya wapokezi, na Ibn Hibbaan (9/138). Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf Sunan at-Tirmidhiy” (3852).
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 100
- Imechapishwa: 20/09/2026
144 – Sulaymaan bin Silm ametukhabarisha: an-Nadhwr ametukhabarisha: Hammaad ametukhabarisha: Abuz-Zubayr ametukhabarisha, kutoka kwa Jaabir, ambaye amesema:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) aliniombea msamaha siku ya Ngamia mara ishirini na tano.”[1]
[1] at-Tirmidhiy (3852), ambaye amesema Hadiyth ni nzuri, Swahiyh na ngeni, al-Haakim (3/565), aliyesahihisha cheni ya wapokezi, na Ibn Hibbaan (9/138). Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf Sunan at-Tirmidhiy” (3852).
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 100
Imechapishwa: 20/09/2026
https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-jaabir-bin-abdillaah/