143 – Abul-Qaasim Hamzah bin Muhammad bin ´Aliy ametukhabarisha: Abu ´Abdir-Rahmaan an-Nasaa’iy ametukhabarisha: Muhammad bin al-´Alaa’ ametukhabarisha: Ibn Idriys ametukhabarisha: Nimemsikia Shu´bah, kutoka kwa Muhammad bin al-Munkadir, kutoka kwa Jaabir, ambaye amesema:
”Siku ya Uhud baba yangu aliletwa hali ya kuwa ameuliwa. Dada yake Faatwimah akawa anamlilia ambapo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akasema: ”Usimlilie. Malaika hakuwacha kumfunika kwa mvawa zao mpaka aliponyanyuliwa juu.”[1]
[1] al-Bukhaariy (1293) na Muslim (2471).
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 100
- Imechapishwa: 20/09/2026
143 – Abul-Qaasim Hamzah bin Muhammad bin ´Aliy ametukhabarisha: Abu ´Abdir-Rahmaan an-Nasaa’iy ametukhabarisha: Muhammad bin al-´Alaa’ ametukhabarisha: Ibn Idriys ametukhabarisha: Nimemsikia Shu´bah, kutoka kwa Muhammad bin al-Munkadir, kutoka kwa Jaabir, ambaye amesema:
”Siku ya Uhud baba yangu aliletwa hali ya kuwa ameuliwa. Dada yake Faatwimah akawa anamlilia ambapo Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) akasema: ”Usimlilie. Malaika hakuwacha kumfunika kwa mvawa zao mpaka aliponyanyuliwa juu.”[1]
[1] al-Bukhaariy (1293) na Muslim (2471).
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 100
Imechapishwa: 20/09/2026
https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-abdullaah-bin-haraam/