Swali: Nikikatisha nyuradi zangu zinazofanywa baada ya swalah ya faradhi kwa ajili ya kumswalia maiti, nikimaliza nianze nyuradi hizo mwanzo au niendelee pale nilipoishilia?
Jibu: Endelea pale ulipoishilia. Hapana neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
- Imechapishwa: 13/05/2023