Swali: Je, katika Hadiyth ya Buraydah inayosema:
اللهم إني أسألك بأني أشهد أنك أنت الله لا إله إلا أنت الأحد الصمد الذي لم يلد ولم يولد ولم يكن له كفوًا أحد
“Ee Allaah, kwa hakika nakuomba kwa kuwa nashuhudia kuwa Wewe ndiye Allaah, ambaye hakuna mungu wa haki isipokuwa Wewe, Mmoja pekee, Mwenye kutegemewa kwa haja zote, ambaye hakuzaa na wala hakuzaliwa na wala haiwi awe na yeyote anayefanana na kulingana Naye.”
kunachukuliwa kwamba hakuna ubaya wowote kwa mtu kutumia Aayah za Qur-aan katika du´aa?
Jibu: Hili linaenda sambamba na Qur-aan, ni kama mfano wa kusema:
رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ
“Ee Mola wetu! Usizipotoe nyoyo zetu baada ya kutuongoza na tutunukie kutoka kwako rehema – hakika Wewe ni Mwingi wa kutunuku.” (03:07-09)
Swali: Hii ina maana hakuna tatizo?
Jibu: Hakuna tatizo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25294/حكم-الدعاء-بما-يوافق-ايات-قرانية
- Imechapishwa: 25/02/2025
Swali: Je, katika Hadiyth ya Buraydah inayosema:
اللهم إني أسألك بأني أشهد أنك أنت الله لا إله إلا أنت الأحد الصمد الذي لم يلد ولم يولد ولم يكن له كفوًا أحد
“Ee Allaah, kwa hakika nakuomba kwa kuwa nashuhudia kuwa Wewe ndiye Allaah, ambaye hakuna mungu wa haki isipokuwa Wewe, Mmoja pekee, Mwenye kutegemewa kwa haja zote, ambaye hakuzaa na wala hakuzaliwa na wala haiwi awe na yeyote anayefanana na kulingana Naye.”
kunachukuliwa kwamba hakuna ubaya wowote kwa mtu kutumia Aayah za Qur-aan katika du´aa?
Jibu: Hili linaenda sambamba na Qur-aan, ni kama mfano wa kusema:
رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ
“Ee Mola wetu! Usizipotoe nyoyo zetu baada ya kutuongoza na tutunukie kutoka kwako rehema – hakika Wewe ni Mwingi wa kutunuku.” (03:07-09)
Swali: Hii ina maana hakuna tatizo?
Jibu: Hakuna tatizo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25294/حكم-الدعاء-بما-يوافق-ايات-قرانية
Imechapishwa: 25/02/2025
https://firqatunnajia.com/duaa-za-ndani-ya-qur-aan-na-sunnah/