Du´aa ya kuingia chooni inasomwa kabla ya kuingia

Swali: Du´aa ya kuingia chooni inasomwa kabla ya kuingia au wakati wa kuingia?

Jibu: Ni kabla ya kuingia. Aisome kabla hajaingia. Anapokuwa tayari kishaingia imechukizwa akamdhukuru Allaah ndani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340323.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020