Swali: Du´aa hizi zinaombwa asubuhi na jioni?

Jibu: Imepokelewa kupitia kwa Sa´d ya kwamba inasomwa mwishoni mwa swalah:

اللهم إني أعوذ بك من البخل والجبن

”Ee Allaah! Najilinda kutokana na ubakhili na woga… ”[1]

Du´aa inaposemwa kwa kuachiwa mtu anaweza kuiomba wakati anapotaka; asubuhi, jioni, mchana na nyakati zingine zote. Kile ambacho Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakukifunganisha kinaombwa katika nyakati zote.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/34-duaa-ya-hamu-na-huzuni/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24302/متى-يقال-دعاء-اعوذ-بك-من-البخل-والجبن
  • Imechapishwa: 25/09/2024